Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi ( Mb) akichangia leo Bungeni taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kuhusu Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa Bungeni kwenye Mkutano wa Sita na Mkutano wa Saba pamoja na Uchambuzi wa Taarifa za Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge kuhusu Sheria Ndogo zilizowasilishwa kwenye Mkutano wa Tatu na Mkutano wa Nne wa Bunge